Joshua 22:4

4 aSasa kwa kuwa Bwana Mwenyezi Mungu wenu amewapa ndugu zenu pumziko kama alivyoahidi, rudini nyumbani mwenu katika nchi ile ambayo Musa mtumishi wa Bwana aliwapa ng’ambo ya Yordani.
Copyright information for SwhKC